03–04 Oktoba 2026 · Dar es Salaam

Semina Ya Ufugaji Wa
Kisasa Na Kibiashara.

Semina ya siku mbili kwa wafugaji, wawekezaji, vijana na wadau wanaotaka kubadili ufugaji kuwa biashara yenye tija, iliyoandaliwa na Wafugaji Pwani kwa uratibu wa Mount Nebo Farms.

MJSHPMMW

Wataalamu 4
wa ufugaji na biashara

00Siku
:
00Saa
:
00Dakika
:
00Sekunde

Semina imeanza

Tangazo la Semina ya ufugaji wa kisasa na kibiashara
Ada ya siku mbiliTSHS 150,000Chakula, vifaa na cheti vimejumuishwa
02Siku za Semina
12Mada muhimu
04Wawezeshaji
150KAda kamili

Ujuzi wa vitendo

Semina Inayobadili
Namna Unavyofuga.

Mada 12 kutoka misingi ya fedha hadi teknolojia ya uzazi—vipindi vimeundwa kukupa maarifa unayoweza kutumia shambani mara moja.

Mada 01

Fursa Za Kifedha Katika Ufugaji

Elimu ya fedha na fursa za kilimo-biashara na ufugaji nchini Tanzania.

Fursa Za Kifedha Katika Ufugaji
Mada 02

Utambuzi Wa Ng’ombe Bora

Kumfahamu ng’ombe bora: Vinasaba, muonekano na matunzo ya ndama.

Utambuzi Wa Ng’ombe Bora
Mada 03

Inbreeding

Inbreeding ya ng’ombe na madhara yake.

Inbreeding
Mada 04

Ng’ombe Wa Maziwa

Ufugaji bora wa ng’ombe wa maziwa: Mazingira, utunzaji wa maziwa, n.k.

Ng’ombe Wa Maziwa
Mada 05

Ulishaji Wa Ng’ombe

Lishe na ulishaji: Malisho ya kisasa na ya asili.

Ulishaji Wa Ng’ombe
Mada 06

Saileji

Kutengeneza saileji (silage).

Saileji
Mada 07

Kumbukumbu Shambani

Utunzaji wa kumbukumbu.

Kumbukumbu Shambani
Mada 08

Utasa Wa Ng’ombe

Sababu za utasa kwa ng’ombe.

Utasa Wa Ng’ombe
Mada 09

Sayansi: Tija Kupitia Njia Ya Chupa

Namna ya kuongeza ushikaji wa mimba kwa njia ya chupa.

Sayansi: Tija Kupitia Njia Ya Chupa
Mada 10

Sayansi: Tija Kupitia Njia Ya Kijusi

Sayansi ya Embryo Transfer.

Sayansi: Tija Kupitia Njia Ya Kijusi
Mada 11

Ng’ombe Wa Nyama

Unenepeshaji wa ng’ombe wa nyama.

Ng’ombe Wa Nyama
Mada 12

Kudhibiti Magonjwa Na Ajali

Ajali na magonjwa: Tahadhari, chanjo na matibabu.

Kudhibiti Magonjwa Na Ajali

Chukua hatua inayofuata kwa ufugaji wako.

Jiandikishe kwenye semina

Ratiba kamili

Siku Mbili Za
Maarifa Ya Vitendo.

Vipindi vinaanza saa 8:00 AM. Tafadhali fika mapema kwa usajili na utambulisho.

Siku ya 1

Jumamosi · 03 Oktoba 2026

8:00 AM kuendelea
  1. Kujiandikisha, kufungua na utambulisho

    Mratibu

    45 dk
  2. Fursa za kifedha: Elimu ya fedha na fursa za ufugaji Tanzania

    Bank

    30 dk
  3. Taftishi: Utafiti wa changamoto za ufugaji na ukusanyaji wa maoni

    Wote

    30 dk
  4. Ng’ombe bora wa maziwa: Vinasaba na muonekano kabla ya kununua

    M. Joel

    30 dk
  5. Breakfast break

    Wote

    30 dk
  6. Farmers’ products: Neno kutoka kwa wadhamini na wadau

    Wote

    30 dk
  7. Mazingira rafiki kwa ng’ombe wa maziwa: Makazi na hali ya hewa

    N. Haggai

    30 dk
  8. Malisho 1: Malisho ya asili dhidi ya malisho ya kusindika (Sailege: Ulimaji na uandaaji)

    N. Haggai

    75 dk
  9. Lishe na Ulishaji: Lishe, virutubisho, maji - kiasi na ratiba zake kwa ng’ombe wa maziwa

    M. Joel

    75 dk
  10. Lunch break

    Wote

    45 dk
  11. Afya ya uzazi: Maandalizi kabla ya mimba na sababu za utasa

    M. Joel

    30 dk
  12. Artificial insemination: Kuongeza ushikaji wa mimba kwa njia ya chupa

    R. Mwevirah

    45 dk
  13. Mbegu na tija: Breeding, crossbreeding, inbreeding na embryo transfer

    R. Mwevirah

    75 dk
  14. Kikao cha kwanza cha wafugaji: Matokeo ya taftishi na umoja wa wafugaji

    Wafugaji

    30 dk

Siku ya 2

Jumapili · 04 Oktoba 2026

8:00 AM kuendelea
  1. Ng’ombe mwenye mimba: Matunzo ya ndama na uzazi salama

    N. Haggai

    30 dk
  2. Ng’ombe anayekamuliwa: Ukamuaji, utunzaji wa maziwa na ukaushaji

    N. Haggai

    30 dk
  3. Ndama: Utunzaji wa ndama na hatua zake za makuzi

    M. Joel

    60 dk
  4. Breakfast break

    Wote

    30 dk
  5. Ng’ombe wa nyama: Ukaushaji na unenepeshaji wa ng’ombe

    R. Mwevirah

    45 dk
  6. Ufumbuzi wa vitendo: Tija, ajali na magonjwa shambani

    Paul M.

    60 dk
  7. Usimamizi wa shamba: Uongozi, miongozo na utunzaji wa kumbukumbu

    N. Haggai

    60 dk
  8. Lunch break

    Wote

    60 dk
  9. Kikao cha pili cha wafugaji: Yatokanayo na kikao cha kwanza

    Wafugaji

    60 dk
  10. Hitimisho la walimu na kufunga

    Wote

    60 dk
Washiriki wa semina wakijifunza ukumbini

Kila kitu kimeandaliwa

Fika Tayari Kujifunza.
Mengine Tuachie Sisi.

01

Stationery
Kalamu na daftari kwa kila mshiriki.

02

Chakula Na Vinywaji
Vitapatikana kwa siku zote mbili.

03

Cheti Cha Semina
Utapokea cheti baada ya kukamilisha.

Muonekano wa nje wa ukumbi wa seminaMuonekano wa ndani wa Silver Star Hall

Mahali pa semina

Silver Star Hall.

Ukumbi upo Mbezi Makonde, ndani ya Mbezi Garden Hotel, Dar es Salaam, katika mazingira tulivu yenye miti na nafasi ya maegesho.

JINA LA UKUMBI

Silver Star Hall

Mahali: Mbezi Garden Hotel, Mbezi Makonde, Dar es Salaam

8:00 AM–6:00 PMMuda wa seminaParking ipoNdani ya eneo
Fungua ramani ↗
SEMINA INAYOFUATA

Katikati ya Septemba 2027

Taarifa kamili zitatolewa baada ya semina ya Oktoba 2026.

UKUMBI UPO MBEZI MAKONDE

Maelekezo kutoka Magufuli Bus Terminal

Ukifika Makonde: Ukumbi upo upande wa kushoto ukitokea Tegeta/Bagamoyo, au upande wa kulia ukitokea Massana/Posta.

UsafiriMakadirioMaelezo
DaladalaTSh 1,000Magufuli Bus Terminal hadi kituo cha Mbezi Masana
DaladalaTSh 1,000Mbezi Masana (au upande wa Tegeta) hadi kituo cha Mbezi Makonde
Boda-boda~TSh 10,000Magufuli Bus Terminal hadi ukumbini
Bajaji~TSh 18,000Magufuli Bus Terminal hadi ukumbini
Bolt (Taxi)~TSh 30,000Magufuli Bus Terminal hadi ukumbini

Kutana na wawezeshaji

Uzoefu Halisi.
Maarifa Ya Vitendo.

Jifunze kutoka kwa wataalamu wa afya, tija, vinasaba na teknolojia ya ufugaji kutoka Tanzania na Kenya.

Picha ya Mucia Joel Njoroge
Kenya

Mucia Joel Njoroge

Animal Health, Productivity & Processing Specialist · Biosciences Kenya Ltd

Ana shahada ya Animal Health Production and Processing kutoka Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT). Ni daktari wa mifugo anayebobea katika afya, tija na uchakataji wa mazao ya mifugo, akiwa na uzoefu kupitia Biosciences Kenya Ltd.

Picha ya Sikholo Haggai Ndombi
Kenya

Sikholo Haggai Ndombi

Livestock Productivity & Animal Nutrition Specialist · Biosciences Kenya Ltd

Ni daktari wa mifugo kutoka Kenya mwenye shahada ya BSc Animal Health Production and Processing kutoka Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology. Kwa zaidi ya miaka minne amefanya kazi na Biosciences Kenya Ltd, kampuni inayobobea katika lishe ya wanyama na utengenezaji wa virutubisho vya madini kwa mifugo. Ana uzoefu katika utengenezaji wa virutubisho, mauzo, masoko na huduma za ugani. Amefundisha wafugaji katika zaidi ya vyama 100 vya ushirika wa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa katika maeneo ya Central na South Rift nchini Kenya.

Picha ya Dr. Paul Mwashibale
Tanzania

Dr. Paul Mwashibale

Private Veterinarian · Veterinary Surgeon

Ni daktari bingwa binafsi wa wanyama aliyebobea katika ugunduzi wa magonjwa, matibabu na upasuaji unaotokana na magonjwa na ajali, ikiwemo mifupa iliyovunjika na wanyama waliomeza mifuko, kamba au vitu vyenye ncha kali. Ni mhitimu wa Sokoine University of Agriculture na ana zaidi ya miaka 12 ya usimamizi na ushauri wa kitaalamu katika mashamba makubwa nchini, akiwa amefanya upasuaji kwa mamia ya wanyama. Pia ni mfugaji wa ng’ombe wa maziwa na mbwa wa ulinzi kama BM, GSD na Rottweiler. Ofisi yake ipo Kibaha, Mkoa wa Pwani, Tanzania.

Picha ya Mwevirah Jr
Tanzania

Mwevirah Jr

Veterinary Technical Specialist · Reproductive Ultrasonographer · Embryo Transfer & AI Specialist

Ni mtaalamu wa kiufundi wa mifugo katika URUS Tanzania anayebobea katika reproductive ultrasonography, embryo transfer na artificial insemination. Pia ni mshauri wa mashamba ya mifugo anayesaidia wafugaji kutumia teknolojia za kisasa za kuongeza tija.

Jifunze kutoka kwa wataalamu hawa.

Weka nafasi yako sasa

Video za mafunzo

Tazama Maarifa
Kutoka Shambani.

Fungua vipande vya video vya ufugaji na mafunzo kupitia Instagram na YouTube.

Nafasi ni chache

Jiandikishe
Leo.

Lipa kupitia Selcom Bank na uthibitishe muamala, au weka nafasi yako sasa na ukamilishe malipo baadaye.

SELCOM · LIPA NAMBA61248037Mount NeboTSh 150,000

Silver Star HallMbezi Garden Hotel, Mbezi Makonde

03–04 Oktoba 2026Tarehe

8:00 AM–6:00 PMMuda

FOMU YA KUJIANDIKISHA1. Chagua Namna Ya Kusajili
Hatua 1 / 2

Lipa kupitia Selcom BankLipa Namba: 61248037 · Mount Nebo

Hatua ya 2
TAARIFA ZA MSHIRIKIJiandikishe Kwenye Semina
Hatua 2 / 2
9. Tafadhali chagua mfumo wako wa kushiriki mafunzo:
10. Je, unaunga mkono uundaji wa umoja wa wafugaji wa Mwambao wa Pwani?

Ungependa kuwa sehemu ya Wafugaji Pwani?

Jiunge na group la Wafugaji Pwani ↗

● Taarifa zako zinalindwa kwa usalama

Maswali ya kawaida

Kabla Hujaweka Nafasi.

Ada ya TSh 150,000 inajumuisha Semina ya siku mbili, stationery, chakula na vinywaji, pamoja na cheti cha Semina.

Wadhamini na washirika

Tunajenga Ufugaji Bora, Pamoja.

WhatsApp